Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Aliyewahi kuwa CEO wa Simba Sports Club ameandika kupitia ukarasa wake wa X kuwa watu wanalipwa kuchafua wengine na kuwasifia wanaowalipa, Wapambe na Machawa wanaendesha Siasa Za Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habarini Wanajamvi, Leo, tunashuhudia tukio la muhimu la Kongamano La Kwanza La Kitaifa kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, likiendelea hivi sasa. Ni fursa adhimu kwa kila...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Habari za asubuhi wadau Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja. Ni...
2 Reactions
42 Replies
120 Views
Wakuu,nimekuta ripoti ya gazeti la thestandard la kenya toleo la.leo kuhusu maoni ya wananchi baada ya bajeti hiyo kupendekeza mambo kadhaa hasa ongezeko la.kodi. Wiki ijayo Mwigulu Nchemba...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria...
7 Reactions
94 Replies
1K Views
Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao. Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule? Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee...
39 Reactions
144 Replies
6K Views
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo. Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
9 Reactions
146 Replies
1K Views
Wiki hii nimekua nafatilia sana pages za madalali wa magari, Kuna gari ya ofisi nataka kununua kutokana na bajeti nimeamua nianze na used kwanza, sasa hao madalali yaani ni vichekesho tu "Gari ya...
30 Reactions
42 Replies
1K Views
Biblia inasema muonye mtu muovu, la sivyo damu yake nitaitaka mikononi mwako. Ninyi wahubiri, manabii na mitume wa kisasa mnajua kweli nguvu ya jina la Yesu? Hi li siyo jina la kutamka hovyohovyo...
0 Reactions
5 Replies
74 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,237
Posts
49,823,721
Back
Top Bottom