Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau site za porn zimefunguliwa tena baada ya muda mrefu kufungiwa. Hii ni move ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu au tatizo ni nini. Kimaadili naonaa lilikuwa jambo zuri kuzifungua, najua watu...
2 Reactions
6 Replies
71 Views
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo. Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
8 Reactions
136 Replies
1K Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
9 Reactions
356 Replies
37K Views
Habari za majukumu ndugu zangu, naomba kujua nini faida anazopata mchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake kushinda kombe. Natanguliza shukrani Pia soma: Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa...
2 Reactions
11 Replies
328 Views
Habari za asubuhi wadau Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja. Ni...
2 Reactions
30 Replies
120 Views
Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria...
6 Reactions
86 Replies
1K Views
Wakati timu nyingine za ligi kuu zikiwa bize na usajili kuelekea msimu ujao,huko ukoloni kwa sasa hivi ni piga nikupige. Acha inyeshe tujue panapovuja.
1 Reactions
9 Replies
164 Views
Hello! Huu ndio ukweli kuwa vijana wasomi wa Zanzibar hawana changamoto ya ukosefu wa ajira kama ilivyo vijana wa Tanganyika a.k.a bara. Vijana ombeni kibali cha ukaazi wa Zanzibar, wengine...
18 Reactions
61 Replies
1K Views
Nyumba Inauzwa. Ipo Vingunguti kituo msikitini karibu na Tabata Barakuda. Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom. Eneo: Sqm 135.73 Nyaraka: Ina leseni ya makazi. Bei: Milioni 75 Karibu...
6 Reactions
48 Replies
693 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,232
Posts
49,823,602
Back
Top Bottom