Salaam, Shalom!!
Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi,
Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa...
In most cases, hawa watu huwa wananyege sana.
Kwenda gym kwa ajili yakujikinga kupata hiyo kitu ni kama kuongeza petrol kwenye moto.
Hii sijui kitaalamu imekaaje....
NIMEKUJA KWENYE IBADA MOJA HUKU BANANA
TUKO SEHEMU YA KUANDIKA MAADUI ZETU TUWAOMBEE WACHOMWE MOTO
WALE WALIOKUTESA WANAOKUTESA MAKAZINI WANAOTESA NDOA ZAKO BIASHARA ZAKO AFYA ZAKO
VIPATO...
1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine.
2. Ukipiga simu kama haitopokelewa, tuma meseji na sio kupiga mara nyingi hususani...
Vijana wengi wanatazama tv si kwa lengo la kupata elimu na habari muhimu,bali wanatazama kuiga mambo.Mf anatazama maigizo anajifunza kuharibikiwa maadili kama binti mdogo anaiga majibu ya...
Mji wa Same ni mdogo sana ila inashangaza ndani ya wiki tatu zilizopita zimeibiwa TV nyingi sana, je, zinakwenda wapi? Au zinauzwa wapi?
Maeneo ya Sterling na Stesheni kwa mfano zimeibiwa TV nne...
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.
Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.