Mzee Jenerali Ulimwengu anasema tukiamini Rais ndiye anateua Wakuu wa Mikoa wote, Wakuu wa wilaya wote, Wakurugenzi wote tutakuwa tunajidanganya tu kwa Sababu hakunaga Rais mwenye Uwezo huo.
Rais...
Habari wakuu?
Wanasema ndege wenye manyoya ya kufanana huruka pamoja. Na mimi pia naamini kwenye mzunguko wa watu wangu wa karibu nikiwa na watu wanaofanya kitu kama changu itanisaidia kukua...
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
Salaam, Shalom!!
Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi,
Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa...
Miaka ya 2000 kulikuwa na wanamuziki wanne wenye majina makubwa ambao hao waliamua kuwaita kwa jina la Big Four yani Jay Z, Nelly, DMX na Eminem. Huyu jamaa unayemuona kwenye picha aliibuka tu na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii mtakubaliani nami kuwa Mheshimiwa David Kafulila pamoja na Mheshimiwa Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaubeba Upinzani hasa...
Kabla hujafanya maamuzi ya kuwa na watoto /Familia fahamu hili..
Watoto wamekuwa ni hazina na faraja ya wanawake uzeeni lakini faraja ya kudumu ya mwanaume uzeeni imekuwa ni mali zake alizotafuta...
ANGALIZO TU TUNUKUU TAR YA LEO
.KWA USHINDAN WA TIMU ZIJAZO LIGI YA NBC SIMBA NIWAPE TAHADHARI MSISHANGAE MKAWA WA NNE LIGI INAPOKWISHA NA MSISHANGAE N MABADILKO NCHI TUUU
ANDIKA TAR YA LEO NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.