Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
"MIMI MWENYE NYUMBA WAKO APA MBONA SIKU ZINAZIDI?" 12 WAFIKISHWA MAHAKAMANI, WAKABILIWA MASHTAKA 32. Na. Jeshi la Polisi, Dar es Salaam, Mei 28, 2024 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu...
4 Reactions
36 Replies
992 Views
Tunaumizwa na watu tunaowapenda. Tumewapa haki hiyo tulipojiaminisha upendo tulionao kwao ndio walionao kwetu. Tumechagua wenyewe kuumia. Haki ya kulibangua hilo na kuliweka kwenye kipimo stahiki...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
74K Views
Aisee naomba unisaidie kama unamjua mfanyakazi yeyote wa CRDB basi naomba nisaidie kumuulza haya maswali. 1. Nikiwa nataka kufungua account mpya ya CRDB naweza kupata card siku hiyo hiyo? 2...
3 Reactions
8 Replies
253 Views
Wakuu habari? Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa...
3 Reactions
33 Replies
190 Views
Rais hakukosea kumteua Paul Makonda. Wengi wa wanaomchukia Makonda ni wale waliozoea blabla, shingwini shingwini na kona kona. * Makonda akiagiza Ofisa kupaza sauti kwenye kisemeo - waovu eti...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa...
14 Reactions
162 Replies
5K Views
Asalaam, Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani. Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za...
18 Reactions
181 Replies
2K Views
Dada zangu please msizae na wanaume ambao hawatawaoa. Biblia haijashawishi wanaume kuoa single mama
2 Reactions
9 Replies
80 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,043
Posts
49,736,569
Back
Top Bottom