Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeona vita vikali vya siasa kati ya pande za Mchungaji Msigwa na Sugu kuwania uenyekiti wa kanda ya Nyasa ndani ya CHADEMA. Sijui ni sababu gani hasa zilizopelekea kuwa na mfumo wa aina hii...
1 Reactions
4 Replies
86 Views
Amani ya Mungu muweza wa yote iwe nanyi. Nimekuwa nikitafakari kuhusu hili suala la kiimani, kuhusu wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni.??? Naomba mnisaidie kusolve kwa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Kumetokea urushianaji wa risasi baina ya vikosi vya Israel na vile vya Misri vilivyo upande wa pili wa mpaka eneo la Rafah ambapo askari kadhaa wa Misri wamejeuhiwa na mmoja kati yao kufa. Tayari...
5 Reactions
45 Replies
1K Views
Peace, Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
22 Reactions
71 Replies
1K Views
CEO wa PPP Bw David Kafulila amesema Mpango wa Serikali ya Tanzania wa Miaka Mitano umelenga kutekeleza jumla ya miradi yenye thamani ya TZS 114 Trilioni, TZS 40.6Trilioni zitatoka katika...
21 Reactions
105 Replies
2K Views
Leo nimekaa nimetafakari sana bila kupata jibu, Samahani kwa Tafakuri yangu kama nitaudhi imani za watu wengine basi naombeni mnisamehe sana. "Waungwana mbona Wazungu wao wanahistoria nzuri sana...
6 Reactions
26 Replies
618 Views
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza. ipo siku nitampatia huu ujumbe live...
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Watoto wadogo ukiwauliza kwamba ukiwa mkubwa unataka kuwa nani? Utasikia vitu vingi sana ila ngoja akue sasa akutane na mwalim Dunia, wee utamkuta anachoma mkaa. Story ya watoto inafanana na ya...
1 Reactions
8 Replies
169 Views
  • Sticky
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
15 Reactions
17K Replies
2M Views

FORUM STATS

Threads
1,858,057
Posts
49,736,850
Back
Top Bottom