Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana.
Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi...
Ule msemo wa kizuri huonekana baada ya kutoweka ulifaa sana kwa kipindi hiki cha awamu ya 6. Kipindi cha uongozi wa Magufuli kwakweli nilimchukia sana Makonda. Ila baada ya Magufuli kuondoka...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nimekaa mitaa mingi maeneo ya kipato cha kati na cha juu hata kufikia kupata kwangu. Changamoto nyingi niliyokumbana nayo ni wakati unatafuta sehemu ukakae peke yako ukatafakari hili na lile...
Ukweli ni kwamba ukiota unafukuzwa na nyuki inaweza kuonyesha kuwa unahisi kuzidi wa na mambo mengi kichwani na huna nguvu. Nyuki mara nyingi huhusishwa na kazi ngumu Kwa ushirikiano, hivyo hii...
Peter Msigwa Amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Kanda ya Nyasa ambako anachuana na Sugu kwa madai ya Rushwa na kumpendelea Sugu.
Just imagine hiki ndio chama Cha Upinzani kinachodia...
Mbunge Suma Fyandomo: Ukienda Mbeya Huoni Mji Uko Wapi
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Fyandomo amesema kwa sasa mtu akifika katika Jiji la Mbeya hajui mjini ni wapi kutokana na...
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.