1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine.
2. Ukipiga simu kama haitopokelewa, tuma meseji na sio kupiga mara nyingi hususani...
Habari za wakati huu ndugu zanguni.
Nimekaa mahali maeneo ya magomeni karibu na bara bara kuu nikasikia hilo tangazo, wakitangaza kupitia gari ndogo maarufu kama "KIRIKUU"
Kwa mujibu wa...
Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa? Uzuri wa biashara hii unaweza fanya popote budget yangu ni mil 10 ambayo itajumuisha TV 3, friji, viti, meza, jiko, wafanyakazi 3 wa kuanzia, mziki...
Nimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa...
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha...
Salaam shalom!!
Tulipopata Uhuru wa Nchi yetu, hatukuwa na wawekezaji wengi wa kuwekeza kwenye migodi, Serikali ilihodhi vitega Uchumi vyote na kusimamia, Hawa wawekezaji wa sasa, nionavyo Si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.