Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo kuanzia saa 4 kuna mechi nyingi sana za WC Qualifiers zinachezwa, kwa ngazi ya makundi. Sisi tulitakiwa tucheze na Elitrea Jumatatu tar 3 ila ilihairishwa. Hadi sasa mechi zilizopo: Guinea...
4 Reactions
32 Replies
441 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Uwe na miaka 30 kwenda juu usivuke 40 uwe tayari kuishi kiuhalisia
0 Reactions
13 Replies
67 Views
Moja ya vitu ninajivunia hapa duniani ni watu. Nina marafiki kadhaa ambao kwakweli tunarahisishiana maisha kwa kiasi kikubwa. Ni marafiki tuliojuana kwa miaka kadhaa na tunapigana tafu. Si urafiki...
5 Reactions
31 Replies
678 Views
Habari za uhakika ni kwamba kocha wa zamani wa Simba maarufu Uchebe amechukuliwa kuinoa Singida Black Stars. Singida safari hii wanawekeza sana.
2 Reactions
27 Replies
532 Views
Habari wakuu, Tunatafuta watu wa kudesign logo, cover na poster za kuvutia. KAMA UNAWEZA KAZI HII EMBU TUTAFUTE WHATSAPP: 0747744895 KARIBU
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Formula One, also known as Formula 1 or F1 and referred to officially as the FIA Formula One World Championship, is the highest class of single-seater auto racing sanctioned by the Fédération...
10 Reactions
2K Replies
139K Views
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi. Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na...
26 Reactions
122 Replies
1K Views
Huwezi kusikia watu wanaokuja dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala hiwwezi kusikia watu wa mbeya, ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani. Ila linapokuja swala...
7 Reactions
33 Replies
315 Views
inasikitisha sana, ina uma sana, na kwakweli inatia huruma na kukatisha tamaa mno, lakini daima usichoke wala kukata tamaa. kumbe ni hali halisi ya maisha na ukosefu wa ajira, ndio inawachochea...
4 Reactions
4 Replies
88 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,122
Posts
49,820,050
Back
Top Bottom