Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu wakuu? Kuna hoja hapa naomba kuileta kwenu.. Kama mmejaribu kufatilia, Vijana wengi sana wanathubutu kutoka mikoani na kwenda Dar es salam kutafuta maisha. Wengi wanaenda kutafuta...
9 Reactions
59 Replies
1K Views
Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye. Wanaume walioshiba wanamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa dini...
0 Reactions
3 Replies
22 Views
Wakuu habari zenu? Natumai anaesoma post hii yu mzima wa afya kabisa ,Mungu aendeleee kukujali pumzi. Kama kichwa juu hapo natamani kujifunza saikolojia ila sielewi nianzie wapi? vitabu gani...
0 Reactions
1 Replies
12 Views
Tukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu...
6 Reactions
67 Replies
2K Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Huko Singida Mjini kumepangwa kufanyika Mkutano wa Hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu 8/6/2024, kwenye viwanja vya Stendi ya Zamani...
3 Reactions
35 Replies
784 Views
Leo Israel imeshambulia kusini mwa Lebanon kwa ndege vita zake kama kitendo cha kulipiza tukio la Hezbollah kushambulia kaskazini mwa Israel kwa drone kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine 10 leo...
2 Reactions
12 Replies
236 Views
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Twaha Mpembenwe amesema kuwa Uchambuzi wa Kamati ya Bunge ya Bajeti umebaini kwamba watumishi wengi wa Serikali wanalipwa mishahara midogo...
0 Reactions
2 Replies
118 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana...
8 Reactions
50 Replies
622 Views
  • Suggestion
DONDOO Mchango wa kila mwanachama kwa mwaka ni sh 45,000 au kwa siku ni sh 150. Ni mfumo rahisi kupitia (portal) za vikundi ambao hata ombaomba, wanafunzi watashiriki kuchangia wenyewe sh 150...
0 Reactions
2 Replies
71 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,175
Posts
49,821,923
Back
Top Bottom