Msichana wako akikuacha baada ya kukukamata umechepuka mara moja.nunuwa zawadi nyingi mpelekee mama yako usitake kujua amedumu vipi na dingi miaka yote na kawalea mmekua na familia iko imara kwa...
Leo nataka niwape stori ya kweli najua kila mmoja wetu anamambo yake kutokea huko nyuma katika maisha yake watayatoa kwa wakati wao ila mimi nimona muda huu unanifaa kushare haka kastori kafupi...
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe...
MUDA SI.MREFU TUTAWAPA NA SERKL ZA MITAA WANAVYOONGEZEKA
MH IMMIGRATION FANYEN MSAKO WA GUEST ZA MBAGALA ZAKHEM KILA ALHAMISI MPAKA JPILI
HIZI GUEST NYINGI HUHIFADHI WAETHIOPIA WANAOSUBIRIA...
Shirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza.
Cha kushangaza Tanzania...
Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali.
Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani...
Kuna vijana wengi wamejiajiri kwenye kazi ya ufundi simu Ila Kati ya 20 waweza pata mmoja tu ndo anaelewa kidogo kuhusu simu walio Baki ni kuchoma maiki tu na kubadili vioo kwani hata kubadili...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Hili sio taifa la kwenda kutembeza bakuli Korea kusinu. Dhahabu, ruby almas na hata Alexandrite zimetapakaa hadi uvunguni mwa vitanda vya watanzania.
Maziwa makubwa kama Victoria na Eyasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.