Kuna matukio mawili yameongozana yamedhihirisha ni wazi TFF ina watu wasiokuwa na uadilifu, wasiokuwa na maono na hawana upeo wa kufikiria, kuchambua vitu kwa kina.
Tukio la kwanza ilikuwa ni...
Wanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni:
1. Saratani (Cancer)
2. Vidonda vya tumbo
3. Kisukari
Ongezeeni mengine hapo
Unapoona Viongozi wa wakuu wa juu wa Chama cha Siasa ni Vigeugeu katika kauli zao jua kabisa hicho chama ni sehemu tu ya kutafutia mikate yao ya Kila siku.
VIjana wa CHADEMA wanaodhani...
Bora tu imetokea kwa Mkenya! Ingelikuwa ni Mtanzania angekiona cha moto kwa mashambulizi ambayo angeyapata mitandaoni😄😄😄
Kiingereza si tatizo kwa wasomi wa Kenya, Rais Ruto akiwemo. Lakini awamu...
Inaonyesha hayo Mabasi ya Mwendo wa Kasini yapo Machache sana Hapo Jijini Dares-Salaam bado tupo nyuma kima endeleo Usafiri wa Mwendo wa kasi unahitaji yawepo Mabasi zaidi ya 5000 ili kuweza...
Hii inachekesha kidogo 😂😂😂
Je wewe ni aina gani ya Mke au upo katika aina gani ya mke? Hata kama hajaolewa lakini unatumaini kuwa Mke wa mtu.
1. BOXING WIVES : Hawa ni aina ya wake wanaopigana...
Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Philipo Gekul akichangia makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Utamaduni ,Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2024/25 ameiomba Wizara hiyo kupeleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.