Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

1.0 Waheshimiwa Wabunge, tarehe 14 Februari, 2024 nilipokea barua kutoka Kanisa la EFATHA, ikiwasilisha utetezi wake kuhusu mchango alioutoa Mhe. Deus Clement Sangu, (Mb) dhidi ya EFATHA, Mchango...
0 Reactions
2 Replies
40 Views
Wakuu, Juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua kondomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo. Hii inaweza...
7 Reactions
39 Replies
721 Views
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima...
2 Reactions
23 Replies
423 Views
Habari wadau. Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo? Chief-Mkwawa amelinganisha vizuri kuhusu bei za internet ya starlink vs bei za ISP wa bongo. Bei za...
6 Reactions
83 Replies
5K Views
Mimi ni kijana mdogo bado, ila nataka nijiajiri mwenyewe kwa manufaa yangu ya badae Niko hapa kuuliza ili nijue kiundani zaidi kuhusiana na biashara ya mafuta ya kupikia Je soko lake lipoje? Ni...
1 Reactions
2 Replies
73 Views
Kumetokea urushianaji wa risasi baina ya vikosi vya Israel na vile vya Misri vilivyo upande wa pili wa mpaka eneo la Rafah ambapo askari kadhaa wa Misri wamejeuhiwa na mmoja kati yao kufa. Tayari...
3 Reactions
20 Replies
675 Views
Angalizo:- Habari hii ni sanaa ya picha na haiendani na uhalisia wa maisha, Wala jina la mtu yoyote. Hamis Kichwa, alikuwa maarufu sana hapo Oyster Bay Police akisifika kwamba ndiye Israel mahiri...
2 Reactions
7 Replies
415 Views
Sasa ndani ya App yetu ya maktaba unaweza kujisomea vitabu vyote vilivyomo bure kabisa. Ingia playstore na install Maktaba by pictuss APP. Unaweza kusoma vitabu hata ukiwa offline. Link ya app...
16 Reactions
124 Replies
22K Views
Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu,ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na...
4 Reactions
46 Replies
222 Views
Kijana unaepambana kimaisha ukipata acheni kidogo hama huko uswahilini, hasa hasa jiji Dar es Salaam, uswahilini ya Dar es salam ni milango ya kuzimu ..watu wamechoka, watu wamekata tamaa, Jana...
8 Reactions
40 Replies
605 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,828
Posts
49,729,953
Back
Top Bottom