Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa...
Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe.
Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa...
Habari ya asubuhi.
Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share
Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua...
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.
Waziri Makamba...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa kichekesho...
Mifano kwa CCM iko wazi akiingia Mwenyekiti Mpya anaanza Kusafisha Sekretarieti ya Chama na kuingiza Jamaa na Rafiki zake kadhalika Chadema itakuwa hivyo
Sasa wale wanaolisha na kusomesha watoto...
Kampuni ndogo zilizo chini ya shirika la kuhudumia viwanda vidogo SIDO kutoka mikoa sita nchini wanatarajia kuongezewa ujuzi wa TEHAMA ili kuchukua fursa zilizopo katika uchumi wa kidigitali...
Dhana ya Kuabudu
Kuvaa mavazi yenye stara ktk imani ya kiislam ni ibada. Ni kuabudu.
Kuabudu si kuswali, kusali na kusifu tu.
Kuabudu ni kutekeleza kila amri ya Mungu kwa mujibu wa imani yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.