Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Iko hivii; Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details...
14 Reactions
50 Replies
2K Views
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto. I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye...
8 Reactions
32 Replies
170 Views
Wasabato fahamuni kuwa Yesu ndiyo hekalu halisi lililopo mbinguni haiwezekani akaingia kwenye hekalu lake mwenyewe Wadau hamjamboni nyote? Mada yangu ni habari ya hekalu la mbinguni na tafsiri...
3 Reactions
18 Replies
222 Views
Mada za kuwasema Single Mother zimekuwa nyingi sana ila watu hawajui kuwa Wanaume wenye watoto ambao washatengana na wenza wao ni Pipa na mfuniko na Masingle Mother hawana tofauti ni kitu kimoja...
6 Reactions
18 Replies
199 Views
Wanaukumbi. Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi...
6 Reactions
97 Replies
2K Views
Hivi iko wapi ile Kamati ya maadili ya ccm iliyowahi kuwachukulia hatua kali akina Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT taifa), Msambatavangu (akiwa mwenyekiti UWT mkoa wa Iringa), na iliyowapa...
3 Reactions
16 Replies
446 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania amefanyiwa ibada Maalumu nzito sana VATICAN. Ibada ambayo imefanywa na kuongozwa na jumuiya ya watanzania...
3 Reactions
42 Replies
706 Views
My Take Beatrice wa Moshi amelipa Ile ya Penina wa Goba.Ubaonunasomae 1=1,ngoma hii Bado hakuna mshindi 😆😆😆😆😆 ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi...
5 Reactions
113 Replies
2K Views
Ukiangalia namna viongozi wa Azam na wachezaji wake wana hali ya usimba na uyanga mle. Kitendo cha Azam kufungwa goli tatu na Simba kulileta tafsiri ya aina yake kwasababu Azam walihitahi tu point...
3 Reactions
7 Replies
200 Views
Mtunzi: Febiani Babuya Mwandishi: Bux the story teller Umri :Miaka 18+ Uurasa wa tatu Sehemu iliyopita tulipoishia... Aliamka asubuhi na mapema sana akarudi kwanza kwao, alitaka kuhakiki kama je...
1 Reactions
259 Replies
50K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,409
Posts
49,715,817
Back
Top Bottom