Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Feisal Faila kuff kama wanavyomuita watangazaji wa Azam rafiki za lawena msonda mzee wa makongorosi ametaja kikosi chake Bora Cha msimu ulioisha kupitia gazeti pendwa la michezo mwanaspoti ambapo...
0 Reactions
3 Replies
62 Views
Nimeamini bila shaka kwamba JPM alikuwa moto wa kuotea mbali. Wakimaliza kumtukana wanaenda kupanda ndege ,madaraja na ofisi alizozijenga yeye huko Dodoma. Taifa linaingiza pesa nyingi sana baada...
40 Reactions
85 Replies
6K Views
Friends and Our Enemies... Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani...
9 Reactions
120 Replies
2K Views
Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba...
12 Reactions
63 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Gazeti la Raia mwema la leo limekuja na ufisadi wa kutisha uliofanywa na shirika la Tanesco kwa miezi kumi iliyopita kwa kutumia zaidi ya billioni 61 kwa kulipana posho viongozi wa shirika hilo la...
5 Reactions
82 Replies
8K Views
Kinyume kabisa na ilivyotabiriwa na Tundu Lisu na Zito Kabwe kwamba Tanzania ikithubutu kuhoji na kubadili sheria mbalimbali za madini ikiwemo makinikia itakuja kushitakiwa MIGA na kukimbiza...
12 Reactions
61 Replies
6K Views
Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu Dar es Salaam, Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amewaondoa wasiwasi watanzania rasilimali za nchi ziko salama kabisa, zile habari...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza...
2 Reactions
23 Replies
563 Views
Ni katika shambulio la TL Huyu mtu akibanwa vizuri ataweza maliza maswali mengi sana .
0 Reactions
5 Replies
66 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,712
Posts
49,809,791
Back
Top Bottom