Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huu ni ushahidi mwingine kuwa umri ni namba tu kwenye mapenzi na kuzaa ni mipango na baraka za Mungu. Bibi mwenye umri wa miaka 63, Cheryl na Mume wake Quran McCain mwenye umri wa miaka 26...
1 Reactions
19 Replies
162 Views
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
49 Reactions
179 Replies
5K Views
Mchungaji Peter Msigwa akizungumza Jumatano kwenye mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara Tundu Lissu uliofanyika Jumatano Juni 05, 2024 katika Kijiji Ughandi -Singida Kaskazini...
2 Reactions
4 Replies
98 Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
9 Reactions
314 Replies
35K Views
Majiria ya saa saba na dakika ishirini na moja hivi (7:21) leo tarehe 5 June 2024 limepita tetemeko dogo la ardhi hapa Moshi vijijijji maeneo ya Kilema (haijajulikana maeneo mengine). Mtikiso...
2 Reactions
13 Replies
218 Views
Once again tunakutana kwenye mchezo bora huu hapa. Tukapate kumsoma secret agent mmoja ambaye alikuwa assigned kuwa mlinzi wa raisi. Lakini baadae anagundua kwamba mfumo hauko sawa na yeye ndiye...
7 Reactions
128 Replies
27K Views
Wajinga wajinga wengi wanafurahi eti akina Magori wamerudi kuiokoa Simba, tena vyombo vya habari vya kijinga kabisa vinaandika Mamafia warudi Simba. Wana umafia gani sasa? Mafia enzi hizo alikuwa...
0 Reactions
6 Replies
81 Views
Hii ni post ya ya mhe Nape ya 23 May 2024 akimrushia tusi mwananchi. Waziri Nape anamdhalilisha sana mhe rais kwa tabia yake ya kutukana watu mitandaoni. Yeye kama waziri wa Habari na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Special cases mtu aende form 6 Bado ni mdogo sana kiumri Hakuna uwezo wa kumlipia ada Kutaka kuwa mwalimu, Kwenda chuo kuna faida zifuatazo UWANJA MPANA WA KUPATA AJIRA - form 4>>chuo wana...
0 Reactions
2 Replies
46 Views
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja. Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
21 Reactions
178 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,470
Posts
49,802,991
Back
Top Bottom