Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (Kahama/Lugera/Mnazi mmoja). Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa...
Kuna baadhi ya walimu kati shule kadhaa hawataki kabisa kusikia wanafunzi wao wanaenda kusoma tuisheni kipindi Cha likizo wakidai kwamba zinapoteza na kuvuruga uelewa wa kile alichowafundisha...
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake.
Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza...
Kuna Kungwi mmoja ametushauri wanaume eti tunapo gegenda tuwe tunatoa japo miguno, kwasababu inawaamsha sana wadada.
Sasa kwenye hizi Nyumba za kupanga itakuwaje?
Akina dada hebu watuambie...
Niliwahi kutahadharisha miaka takriban minne iliyopita kuwa, siku za petrol and dizel zinakwisha na hivyo tufikirie vizuri zaidi kuhusu miradi mikubwa ya petrol and dizel. Nililenga moja kwa moja...
Unasoma shangwe na vigelegele kila mahali, kuwa sasa chadema kwisha! Sijui kama hili chadema mnaliona!
haya mambo yanaua matumaii ya watanzania waliyokuwa na yo na chadema
Habari wanajf,
DED Manyoni uwe na utu Kwa watumishi walio Chini yako haswa ukizingatia afya ndiyo msingi wa rasilimali watu, Kipi kinakufanya kushindwa kumruhusu mtumishi wako Kada ya Uchumi...
Kama Taifa kubwa linatunga sheria Kali kiasi hiki ,inakuaje hapa Tanzania ambapo Watoto wanafanyiwa vitendo vya ajabu na hakuna adhabu yeyote ya maana?
Kuna Mbunge alipendekeza adhabu ya...
Rehema Chalamila (Ray C) Mei 15, 1982, Iringa - Tanzania.
Kabla ya kuingia kwenye Muziki, alikuwa Mtangazaji wa East Africa Radio, baadaye akahamia Clouds FM zote za Dar es Salaam.
Alianza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.