Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM...
Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa? Uzuri wa biashara hii unaweza fanya popote budget yangu ni mil 10 ambayo itajumuisha TV 3, friji, viti, meza, jiko, wafanyakazi 3 wa kuanzia, mziki...
Habarini na poleni na majukumu
Uzi huu nimeandika kutokana na mada mbalimbali nilizokutana nazo zinazohusu mahusiano ya kindoa juu ya single mothers
Kwanza kabisa inabidi nitoe sababu chache za...
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
Naomba ushauri.
Nina mwanaume wangu lakini ana tabia ya ulevi uliokithiri yani kulewa mpaka asubuhi na huendelea siku inayofuata mfululizo.
Kila wakati anaomba msamaha kubadilika hali ni ile...
Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi...
Kila kukicha uchumi wetu unaporomoka. Leo hii Dollar moja ya Kimarekani kwa ubadilishaji(exchange rate) inakimbilia kuwa T.shs.3,000. Wenzetu wa Kenya juzijuzi fedha yao ilikuwa inabadilshwa...
Wimbi la magari ya kifahari kutumika kusafirisha wahamiaji haramu kutoka Ethiopia, linazidi kushika kasi nchini na safari hii gari linalodaiwa kuwa la Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.