Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Samsung A14 128gb Used kama mpya Haina tatizo lolote Bei 275000 Location:ukonga banana Bei haipungui 0697224996 karibu🙏
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiambia Dunia kuwa uwekezaji wa kweli katika nishati ni kuwekeza katika nishati safi ya kupikia barani Afrika. Rais Samia ametoa...
0 Reactions
2 Replies
44 Views
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali. Anyone who is...
4 Reactions
36 Replies
159 Views
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
24 Reactions
64 Replies
1K Views
Wakuu habari, Kuna mjamzito hapa kapitiliza siku zake za kujifungua, leo hii ni siku ya 13 tangu tarehe ya makadirio aliyo andikiwa. Huu ni ujauzito wake wa pili na wa kwanza haukuwa na...
0 Reactions
11 Replies
161 Views
UFAFANUZI WA MKOPO WA DOLA BILIONI 2.5 AMBAO TANZANIA IMEPATA KUTOKA KOREA Mobhare Matinyi. Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Dar es Salaam Juni 4, 2024. Saa...
1 Reactions
11 Replies
242 Views
Sikusema nae nilipomuona ufukweni, Hakuniona nataka kumsuprise baby girl, Mtu mwingine akaja mshika bega kabla yangu, Kusimama Nashangaa Mara wanakiss na baby wangu, Ile ki-silencer nagubwikwa na...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT. Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike...
3 Reactions
18 Replies
182 Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
3 Reactions
175 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,231
Posts
49,795,798
Back
Top Bottom