Salamu wakuu.
Mji huu Dar es salaam ni Mji mzuri sana katika mishe za hapa na pale. Mji huu haumkatai mtu kama ukiweka starehe mbele.
Pisi za Mji huu hazina upendo kwa apeche alolo. Pisi za Mji...
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.
Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika...
Hili sasa ni janga kuu hapa Bunda.Unapoamka alfajiri unakutana na makundi ya watoto na vijana wamebeba shehena za vyuma kwenye mifuko na maboksi yao.Wanavitoa wapi?Mwisho wa safari zao huwa ni kwa...
Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo
Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana.
- Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda.
- Interest ya Kagame katika vita za wengine.
Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna...
Nina uhitaji na PC kama uko Dom una PC umeichoka ila ni nzima na nzuri niuzie kwa bei ya kitanzania ya kulia lia nami inisogeze kwenye mambo yangu
Fanya kama unanisaidia
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.