Akijibu hoja ya Luhaga Mpina kuhusu uagizaji na uingizaji wa Sukari nchini, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe hapo Jana bungeni alisema, "Sukari ni chakula cha watu masikini, ndo maana Wabunge...
James Mbowe amesema Demokrasia ya Chadema ni kubwa sana ndio sababu mchungaji Msigwa ameweza kuwaita Waandishi wa Habari na kuwashutumu viongozi wenzake bila kuwa na ushahidi wowote
Mbowe amesema...
Benki ya 'Access Microfinance Bank Tanzania (AMBT)' yenye makao makuu yake nchini Nigeria imeuzwa kwa kampuni ya kitanzania ya Selcom kama mwanahisa mkubwa zaidi na sasa itajulikana kama 'Selcom...
Na nawaambieni mapema kama ambavyo ANC huko Afrika Kusini ilivyopoteza Viti vingi vya Ubunge na hawaamini ndivyo ambavyo itakuwa hivyo hivyo kwa CCM hapo Mwakani kwa Kupoteza Viti vingi vya Ubunge...
Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT.
Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike...
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe M Maranja
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi Chadema ilivyosheheni wahuni
Chonde...
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali Nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
Sehemu ya hotuba ya Rais Kikwete inayothibitisha kuwa hana mawazo ya kuinua hali ya maisha ya watanzania bila ya kukinga mikono kwa nchi matajiri; asilimia 99 ya mambo anayotaka nchi matajiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.