Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuanzia sasa hadi Januari 1, 2025 atakuwa amekamilisha kazi ya kuwanyoosha watumishi wa umma wasiokuwa wazalendo na wanaotanguliza masilahi yao...
Habarini wana JF.
Baada ya kuwa kimya katika kipindi kirefu nimeona sio mbaya nije kushare mengi kuhusiana na hii field ili tuweze kukomboana kwa wale watavutiwa na hili hasa kwa mikoa yetu hapa...
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
Habari za Harakati za kiuchumi.
Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo.
Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira...
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Wakuu ninashida na Godoro, kama kuna mtu atakuwa na godoro la ziada kwake ambalo alitumii naomba anisaidie.
Hata like chakavu litafaa hivyohivyo kwa muda huu mhitaji anahitaji apate msingi wa...
Nawasalimu wote.Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli ,huu ni mjadala wa siku nyingine, Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri...
Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.