Hello hello hellooooooo.
Mko salama jamani😉😉
Leo ni birthday ya Chakorii.
Karibu tusheherekee pamoja 🫶🫶
Mtoto ninapokea zawadi🥳🥳🥳
Huhuhuuuu🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
🥂🥂🥂🥂
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM...
Siku moja baada ya kutoa taarifa inayoeleza masharti ya mkopo ambao Tanzania imeupokea kutoka Korea Kusini hivi karibuni (Soma hapa). Shiriki la Habari la Sauti ya Marekani (VoA) limeibuka na...
Habari zenu, katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hiki ki app cha dj afro nimeona nije kushea na nanyi. Uzuri wa Hii app ni Bure, ila Ina matangazo. Uzuri mwingine Ina movie nyingi...
TANZANIA KINARA AFRIKA KWA USAMBAZAJI WA NISHATI KWA WANANCHI
📌 Tanzania na Benki ya Dunia kushirikiana katika miradi ya nishati
📌Benki ya Dunia yaisadia Tanzania dola milioni 300 kuendelea...
Baada ya mwanamke kujua/ kufahamu mume wake anachepuka na kidada fulani jirani,mwanamke anaachika huku akidai hawezi kuvumilia mwanaume amletee magonjwa ya zinaa na UKIMWI
Akiwa huko anakutana na...
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana.
- Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda.
- Interest ya Kagame katika vita za wengine.
Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
Wataamu wa Uchumi Kenya wameonya Serikali dhidi ya Madhara ya Kupitisha mswaada wa kulinda jamii unaopiga marufuku masuala ya ushoga wakisema italeta Madhara kwenye uchumi,siasa na jamii ilhali...
Ni wazi unakubaliana na mimi kuwa kwa asilimia kubwa watoto wengi wanaosoma shule za English medium ni watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha ya kingereza kuliko wale wanaosoma shule za msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.