Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hebu share hapa kinywaji chako ukipendeleacho zaidi na kwa nini unakipenda. Anza Mshana Jr
10 Reactions
125 Replies
3K Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
26 Reactions
7K Replies
132K Views
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi 5 pekee Duniani zenye reli ndefu zaidi za SGR Aidha Bwawa la Mwalimu Nyerere linaifanya Tanzania Kuwa nchi yenye uwezo wa kutumia...
2 Reactions
18 Replies
198 Views
Habari wakuu, Wiki chache nyuma nilikuja jukwaani kuomba msaada wa jinsi ku block users amabo wanapata access ya password, Baada ya kuitumia Router ya Airtel kwa kipindi kirefu sasa imeanza...
2 Reactions
2 Replies
82 Views
Wadau nilinunua hii simu kwa mtu ambaye aliuziwa na mtu na yeye alisema usiirestore itajifunga Mimi mbishi nikatumia itunes nika iupdate kisha nikairestore hapo ndo kasheshe simu ikajifunga...
0 Reactions
8 Replies
264 Views
Wanaume wenzangu naomba mtambue kwamba kama kuna kipindi ambacho unatakiwa kuonyesha mapenzi ya kiwango cha SGR / mapenzi ya hali ya juu ya kujali sana ni pale mkeo anapokuwa mjamzito. Kipindi...
3 Reactions
26 Replies
184 Views
Nimejaribu kusikiliza anachozungumza lakini kama nashindwa kuelewa, ni MUKANDALA yule wa KIKOSI KAZI au ni mwingine.
1 Reactions
5 Replies
133 Views
Xavier huyu Jina lake halisi ni Pakalu Papito ukimcheki Facebook utaona wasifu wake, xavier alivyojiungaga Twitter mara ya kwanza tu akapost hello Twitter am single.. Xavier sifa yake kubwa ni...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayoona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi
6 Reactions
87 Replies
2K Views
Mimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu. Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga...
12 Reactions
46 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,216
Posts
49,685,222
Back
Top Bottom