Kampuni ya Mbeya Cemetent Kwa mara ya kwanza imetangaza kutoa Gawio kwa wana hisa wake ikiwemo Serikali na NSSF kufuatia kuanza kupata faida ,hii ni baada ya hasara ya miaka 10 mfululizo.
Hatua...
Na Bollen Ngetti
0683 226539
B-pepe bollenngeti@gmail.com
SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba...
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM...
Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka.
Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021.
Kongole Mama yetu, tunakupenda sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.