KIJANA WAKO AMEMALIZA CHUO, HANA AJIRA, Kazi ni kuzunguka tu kusalimia Ndugu, Au Kijana mwenyewe ndio Unayesoma hapa.. Umekaa Unasubiri ajira za serikali au Miujiza..?
Sikiliza ndugu, PRESSURE...
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka.
Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021.
Kongole Mama yetu, tunakupenda sana...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Shirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza.
Cha kushangaza Tanzania...
Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
Hello hello hellooooooo.
Mko salama jamani😉😉
Leo ni birthday ya Chakorii.
Karibu tusheherekee pamoja 🫶🫶
Mtoto ninapokea zawadi🥳🥳🥳
Huhuhuuuu🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
🥂🥂🥂🥂
Mwaka 2010, nilienda na rafiki yangu nyumbani kwao Usukumani. Nilishangaa nilipoamkiwa "shikamoo" na dada yake ambaye alionekana wazi anaweza akawa mkubwa kwangu. Ndivyo alivyoniamkia na ndivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.