Wakuu wa nguvu na wana wa Mungu wana jf kibali cha Mungu kikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake
Hili andiko litakua fupi sana.
Jf ni ukweli na huakika siku zote,
Ndugu zangu binafsi bado ni...
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana.
- Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda.
- Interest ya Kagame katika vita za wengine.
Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika
Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hii picha imenichekesha sana 🤣.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
Na Bollen Ngetti
0683 226539
B-pepe bollenngeti@gmail.com
SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba...
Kuna mkuu humu jana ameniambia kuwa huu mti(Palm) kwa kiswahili unaitwa Mkoche(Kisayansi Hyphaene Coriacea) Unapatikana pwani ya Afrika Mashariki kutoka Somalia hadi South Afrika na Namibia. Huko...
Wakuu mulibwanji.....
Nahitaji bass spika ya mziki wa gari ambayo haina box iwe uchi.
Iwe 4 ohms
Iwe na double coil
Na iwe na sehemu 2 za kuingizia sauti yaani hasi ziwe 2 na chanya ziwe 2.
Iwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.