Mpaka sasa katika hatua ya makundi hakuna matokeo ya Yanga ambayo yamekuwa tofauti au ya kushangaza sana tofauti na yale tuliyoyatarajia. Labla yale ya kushindwa kupata point 3 kutoka kwa Medeama...
Salaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
Wakuu wa nguvu na wana wa Mungu wanaJF, kibali cha Mungu kikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake
Hili andiko litakua fupi sana.
JF ni ukweli na huakika siku zote,
Ndugu zangu binafsi bado...
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze ni yeye peke yake ndio amewahu kuchaguliwa kama mbunge kutoka chama cha Upinzani, Dodoma ndio Kabisa wanachagua...
Ni dhahiri Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, anaifungua nchi kitaifa na kimataifa.
Hivi sasa, Taifa lina pumzi freshi tena mpya ya kitofauti kabisa, fursa za kila aina zimefunguka kitaifa na...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya...
Nina Jicho la Kuona na Kumjua Mchezaji kuliko Injinia Hersi na mkinipa hizi Hela nawasajalieni Wachezaji wangu Saba ( 7 ) wa Kimataifa niliowaona Watatu niko nao hapa hapa Kampala Uganda na Watano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.