Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
Takribani mikopo yote inayotolewa kwa watu binafsi, taasisi au nchi huwa na masharti. Pamoja na kwamba masharti hayo kukubaliwa na pande zote za mkopo husika (Mkopeshaji na Mkopaji), masharti hayo...
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.
Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
Habari za humu wanajamii,ni kwa muda sasa huwa ninamfatilia huyu mchungaju wa kkkt ushirika wa kijitonyama Mchungaji Kimaro,hadi kuna muda niliwahi kushawishika kwenda kanisani kwake.
Sasa katika...
Wanandugu tafadhali naombeni msaada wa kufahamu juu ya mada tajwa hapo juu, maana nimeona watu wengi wakijisifu kimafanikio kwa kuhusisha namba fulani ambazo wanadai wakiziona nyakati fulani...
Kitambulisho cha kupigia kura kina changamoto kidoogo. Jina lilikosewa herufi Moja tu. Now Nipo nafuatilia mafao yangu ya NSSF. Kukosewa huku kwa jina kunaweza kuleta changamoto kubwa sana na...
Simba ni Azam B. Narudia tena, Simba ni Azam B. Inasemekana, mwenye njaa hachagui chakula. Kumbe, hata timu isiyo na taji, hilazimika kujishikiza popote.
Ona sasa, Simba wanavyohangaika. Mara oh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.