Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
25 Reactions
276 Replies
9K Views
Haijalishi Una hela au hauna ila achana na tabia ya kupiga mipira iliyokufa . Tafuta Mwanamke anyejielewa ambaye yupo katika peak yake Usisubirie ameshazalishwa kachoka then wewe ndo ujitose...
47 Reactions
128 Replies
3K Views
Tunapendelea kutafakari ajali ya adui wa Israel kuna mambo ya kutafakari bila kujali ni ajali ya kijiografia au jiografia inaweza kuwa mbeleko ya kutimizia malengo. Waamaleki waliwahi kuwaambush...
6 Reactions
13 Replies
289 Views
kama unayo njoo vigezo iwe na zaidi ya mwaka mmoja
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Salaam,Shalom!! Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga HOJA Imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania...
3 Reactions
47 Replies
288 Views
Ni vizuri zaidi kumshukuru na kumuomba mungu kila wakati, bila kuchoka wala kukata tamaa. Sio tabia njema wala sio tabia nzuri kujenga mazingira au hali ya huruma na kuombaomba kwa wanyonge ambao...
1 Reactions
22 Replies
200 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka Ziko wapi? Zilifika salama...
11 Reactions
70 Replies
3K Views
Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤 Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi...
34 Reactions
98 Replies
3K Views
Kosa langu nini ni Vannesa? Mchana usiku bado nakuwaza Vannesa. Siku wiki miaka inapita bado nakuwaza Vannesa . Kosa langu nini Vannesa? Kwa jina naitwa Assenga Mashauri . Ni kijana wa miaka 28...
4 Reactions
62 Replies
791 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,558
Posts
49,666,110
Back
Top Bottom