Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Salaam,shalom,
Mvua kubwa zilizonyesha nchini zimeanza kuleta madhara makubwa Kwa nyumba na makazi ya watu waishio kandokando mwa ziwa Hilo.
Imeripotiwa kuwa, kaya zaidi ya 400 hazina makazi...
Nilitaka tu kujua kwako wewe binafsi toka ile siku umejiunga na JamiiForums ni kipi imekusaidia kivyovyote vile kijamii, kisiasa, kidini hata kielimu pia...?
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, leo Tarehe 8 May 2024, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu bado yuko Mikoani akihutubia na kufundisha Wananchi kuhusu sheria mbalimbali za Tanzania...
Habari ndugu zangu, nimekutana na utapeli wa kiwanja maeneo ya Kisota Kigamboni.
Mpaka sasa nipo njia panda kupata haki yangu pamoja na wahanga wenzangu zaidi ya 10, ambao tumenunua
viwanja hivyo...
Huyu kijana ambaye kwa sasa anaitwa BoniYai au Mleta Taharuki, hadithi yake ya kisiasa inasisimua kwa kiasi chake, hakuwahi kuwa na makuu wala kujikweza.
Hebu msome hapa halafu Toa maoni yako
Tanzania ni moja tu, leo unaitwa Mwanaharakati wa Tanzania kwa sababu wapo Watanzania wenzako wameifikisha hapa.
Inakufaa nini kuzungumza uzushi juu ya nchi yako? Utafaidika nini kutangaza mabaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.