Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu. Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo...
7 Reactions
24 Replies
323 Views
Leo sina mambo mengi kabisa yaan,,ni hivi wakati muhimu kabisa wa kujua siri za mzungumzaji upande wa pili wa simu ni pale mnapomaliza mazungumzo na kukata simu. Yaan mda huo kama utaagana na mtu...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Katika CCM ya sasa watu pekee ambao naweza kusema wana maarifa na uwezo wa kuweza kujibu hoja nzito za wapinzani na Watanzania ni Makamu Mwenyekiti wa chama Ndug. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu...
18 Reactions
96 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Ngoja niwape stori halafu mnishauri. Nyumba niliyopanga ina vyumba 7 na wapangaj 6 cha saba ni Maza house na mume. Sasa jana nilikuwa nimechill chumbani kwangu nimelala mchana na...
2 Reactions
16 Replies
165 Views
Ameandika Tundu Lissu kwenye Mtandao wa X Serikali ya SSH leo imevunja makazi ya Wamasai wa Sanya Station, karibu & airport ya KIA. Lengo ni kukabidhi eneo lao kwa kampuni ya Oman Airports ya...
8 Reactions
46 Replies
869 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa...
3 Reactions
84 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views

FORUM STATS

Threads
1,852,036
Posts
49,593,390
Back
Top Bottom