Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania amefanyiwa ibada Maalumu nzito sana VATICAN. Ibada ambayo imefanywa na kuongozwa na jumuiya ya watanzania...
Iko hivii;
Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details...
Inakuwajeee
Kuna kitu nimekiona hapa
Nimeona sisi Magreat thinkers, matajiri wa Jf kuna haja siku moja tukutane mahali fulani, itakuwa mahali gani? Ndo tukubaliane hapa. Je kila mtu aje na mkoko...
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto.
I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye...
Naipenda hii. Id lkn ananipuuzia nikilike nyuzi zake yy alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lkn anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu pm kafunga nlmwamba...
Taasisi ya kupambana na Rushwa jijini Arusha imesema uchunguzi wa awali umebaini watumishi wawili Jijini Arusha kuhusika na kutengeneza control number bandia na pia kutengeneza kampuni hewa ili...
Ukiondoa wachaga wengi (sio wote) watanzania wengi wa makabila mengine wanapajua zaidi vijijini kwa mama zao na ndugu wa mama kuzidi upande wa baba hivyo wanakidhi kigezo cha kuitwa WATOTO WA...
My Take
Beatrice wa Moshi amelipa Ile ya Penina wa Goba.Ubaonunasomae 1=1,ngoma hii Bado hakuna mshindi 😆😆😆😆😆
=======
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi...
Wanaukumbi.
Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.