Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa. Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
25 Reactions
526 Replies
6K Views
Nchi haitaki watu wenye akili kubwa kuliko watoto wa viongozi wakuu wa nchi. Viongozi waandamizi wanatamani wangezaa watoto kama John Pambalu lakini bahati haikuwa yao. Wao wamebahati kuzaa watoto...
8 Reactions
53 Replies
1K Views
Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amesema Serikali itajenga karakana Kubwa ya kisasa ya kutengeneza Ndege mkoani Kilimanjaro Mradi huo mkubwa barani Africa utasimamiwa na Chuo Cha Usafirishaji Cha...
0 Reactions
7 Replies
21 Views
Wanakumbi. 🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH Taarifa Rasmi ya Hamas: "Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi...
2 Reactions
52 Replies
1K Views
Tuseme kesho Tundu Lissu ameamka kaupata Urais, ni kipi ataanza nacho kuhusu Muungano? Akiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi alidai Tanganyika tunaiibia Zanzibar sasa hivi msimamo wa gwiji...
0 Reactions
8 Replies
17 Views
Habari wakuu nauza Mahindi! Gunia moja la kilo 100 ni shiliingi 50,000. Yapo magunia 150. Mawasiliano +255 687 391 885
0 Reactions
4 Replies
48 Views
Nimejaribu kuangalia mechi ya Simba na Namungo kule Ruangwa ambako nilikwenda kushuhudia live mtanange huo, nikaangalia Simba vs Mtibwa na jana Simba vs Tabora naona wachezaji wanaotumika ni wa...
0 Reactions
5 Replies
226 Views
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka.. Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online. Nifanyaje...
22 Reactions
125 Replies
2K Views
  • Sticky
Full name: Manchester United Football Club Nickname(s): The Red Devils Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C. League: Premier League Website: ManUtd.com...
169 Reactions
201K Replies
11M Views

FORUM STATS

Threads
1,851,965
Posts
49,590,649
Back
Top Bottom