Mwalimu Nyerere alituasa kuwa makini sana na wanasiasa wanaoutumia dini , kabila na rangi katika kutafuta uongozi. Wanasiasa waliokosa hoja hukimbilia mambo hayo ili kuwahadaa wananchi.
Tundu...
Leo hii kuna ajali imetokoe huko. Misungwi ambapo bodaboda zinazodaiwa kuwa katika mwendo wa kasi zimegongana na waliokuwa kwenye hizo pikipi kuungua moto vibaya sana ingawa wanacnhi waliwaokoa...
Wakuu habari za jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mtume Boneface Mwamposa (Bulldozer) amefafanua kwa ufasaha maana ya "sadaka ya kujimaliza" inayotolewa na waumini wa kanisa lake baada ya kupokea...
Habari za majukumu wadau, naomba nizame kwenye maada moja kwa moja
Wiki iliyopita nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge mara nikasikia mlio wa message WhatsApp kwa kuwa simu ilikuwa kimya kwa...
Wasaalamu, wakati mwingine pombe huwa na busara yake tunamalizia weekend ili kesho tukatumikie taifa tunataka kuondoka jamaa amekuja hapa ametupa one for the road, pia amekuja na mada ambayo...
Oyaa wazee wanawake wakisasa kuna kitu ibaidi waelewe,kwa sababu wanawake wa kisasa hawawafanyi wanaume kujihisi wanahitajika tena.
Siku hizi, warembo wetu wamepata kipato zaidi ya wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.