Tukio hili lilitokea November 17, lakini limeibuliwa jana 4/5/2024 kama tukio jipya. Je, walioibua tukio hili na kusema ni ya karibuni walikuwa na nia gani?
=====
Katibu wa baraza la vijana wa...
Moja kwa moja kwenye mada…
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Hakika kutokana na Kiti cha Urais kukaniwa na CCM ni wazi CCM itatumia mbinu zote kuhakikisha inashinda Uchaguzi huo kama Hayati Magufuli alivyoukania URAIS na kuamua kuuvuruga Ule Uchaguzi ili...
Habari!
Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.