Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa...
Taarifa kamili kutoka ndani ya makao makuu ya chama zinasema kuwa chama hiko kwasasa hakiwezi kuwa pamoja either mmoja kati ya Mbowe au Lissu aondoke ndani ya chama hicho.
Mzozo mkali umeibuka...
Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi.
Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM.
-Wote ni wazalendo
-...
Moja kwa moja kwenye mada…
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
ni vizuri kujiridhisha na kujihakikisha kwamba u-msafi vya kutosha maeneo yote ya ndani, ya mwili wako hususani unapokua faragha na mwenzi wao..
mfano maeneo yenye mikunjo na yenye nywele, ya...
Zimebaki siku chache sana, siku ya wapendanao ifike.
Mjuavyo tena, maisha ya mwanadamu kuna wakati yanahitaji faraja, ingawa kuna changamoto nyingi huwa tunazipitia katika harakati zetu za kila...
Sakata la Maofisa wa Serikali waliojitengenezea mfumo bandia wa Makusanyo ya Fedha za Umma limezidi kushika Kasi na kuchukua sura Mpya.
Awali TAKUKURU iliwatia mbaroni watuhimiwa 40 lakini baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.