Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Je, ulipo kuna umeme? Umeme umekatika saa 8 na dk 39 usiku huu na watu wengi sana wanasema makwao hakuna umeme Tusubirie walete zile ngonjera za hitilafu kwenye grid hili shida halina staha...
6 Reactions
34 Replies
379 Views
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
9 Reactions
322 Replies
8K Views
Wakuu usiku wa leo umekua mrefu sana kwa upande wangu, kichwa kimewaka moto haswa, nikaona bora nije hapa kwenye familia yangu ya JF walau ni share hili linalonikumba kabla sijachukua maamuzi...
11 Reactions
51 Replies
3K Views
Nauza viti vya mbao ambayo unaweza kutumia bar,grocery au mgahawani... viti vinapatikana shekilango nyuma ya ofisi za abood bus au shabiby ■ kiti cha watu 2 vipo vi3 ■meza 3 ■stuli 6 inamaanisha...
2 Reactions
2 Replies
128 Views
Shukrani Kwa wadau wote kuni support kwenye hihi kazi kama mnavyoona.
3 Reactions
17 Replies
586 Views
Hamna haja ya salamu, ujumbe tu unatosha. Baada ya miaka 5 -10 watoto tunaowapeleka na kuwarudisha shule kwa mabasi ya njano watakuwa wanaongozwa na waliosoma shule za umma. Hii itakuwa ni kwenye...
0 Reactions
7 Replies
157 Views
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu. Kuanzia...
9 Reactions
32 Replies
497 Views
Habari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝. • Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na...
32 Reactions
384 Replies
9K Views
Akiwa mkoani Iringa katika mkutano wa hadhara Lissu amesema hajui ilikuwaje CHADEMA ikamualika mama kwenye mkutano wa CHADEMA maana huwa hawaji wenyewe ni mpaka waalikwe. Aidha Lissu...
13 Reactions
128 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,933
Posts
49,559,514
Members
667,716
Latest member
shitwele
Back
Top Bottom