Nawasalimu wote wanajukwaa,leo nataka tujifunze silaha kuu tano zinazotumika katika ulimwengu wa kiroho.
Kama wengi tunavyojua kuwa katika ulimwengu wa kiroho kuna falme kuu mbili,falme ya kwanza...
Raia 12 wa Malawi ni miongoni mwa raia 40 wa Kigeni waliokamatwa baada ya kuacha kazi kwenye mashamba ya Arava na Lion kutokana na kulipwa Ujira mdogo na kwenda kutafuta kazi za zenye malipo bora...
Mm Kaz yangu Ni mwalimu ila hapa katka nimeamishwa shul nyingine mtaani x
Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze
Mke anavutia sna napatwa na wasi...
Ujumbe huu, umfikie Mkuu wa mkoa wa Mbeya, DC Chunya, DeD chunya,.
Mh Jumaa aweso, ukifika Fanya ukaguzi wa neo Hilo, vifo ni vingi sana na hakuna mtu wa kukuambia Hali ya eneo Hilo.
Kijiji...
Habari wakuu,
Hii mitandao imekuwa ikiwapa watu umaarufu na kisha kuwapoteza, Mara nyingi mtu anaeibuka kuwa Maarufu mtandaoni huwa hategemei kuwa kituko chake kitampa umaarufu bali hutokea tu...
Usishangae hata aliyekuwa kule bungeni yale makaratasi na Pdf yakawa bure kwake ,sio tu bungeni hata sisi tuliopo hapa tanzania bado tuna wakati mgumu sana.
Aliyesema ukitaka kumficha mtanzania...
Ni msimu wa mavuno ya mahindi sasa,
Hapa ni wilaya ya Mbinga, mkoa wa Ruvuma , ...
Bei ya mahindi ni 300tsh hadi 350 tshs kwa Kg
Karibuni,NINAYO SITE, godown kubwa, na facilities zingine...
Najua itawawia vigumu kuamini hili lakini ndio ukweli. KUNA mstaafu MASHUHURI huenda akalamba TEUZI wakati wowote kuanzia sasa jiandaeni kumpa Maua yake.
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Pambalu anagugumia kwa maumivu baada ya kunyang'wa gari la idara yake bila maelezo zaidi ya kuambiwa ni amari kutoka kwa mwenyekiti. Hii inatokea wakati ametanganza nia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.