Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu,Yupo vizuri kimaisha,Kama mwanaume nilijikuta nikimtamani mana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume Cuz...
14 Reactions
131 Replies
3K Views
GTs, Nimekuwa nikiona wana jukwaa mnavyomsema vibaya Christina kisa kuachana na mume wake Mzee Shusho. Wengi wenu ni wanaume ambao hamjui hali aliyoipitia Christina ktk maisha yake ya kuolewa ktk...
6 Reactions
64 Replies
1K Views
  • Article
Nimekutana na hii mtandaoni kwamba Clownfish wana uwezo wa kujibadilisha jinsia kutokea dume na kuwa jike. Tusaidieni kuihakiki.
0 Reactions
6 Replies
118 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
24 Reactions
6K Replies
122K Views
Hili ni swali lenye lengo la kuhitimisha Mjadala wa kero za Muungano . Tunataka kujua kama Micheweni, Kikwajuni, Chakechake au labda Kizimkazi kama ameonekana DC yeyote mwenye vinasaba vya...
2 Reactions
4 Replies
18 Views
TUNDU LISSU TOFAUTISHA SAMIA NA RAIS SAMIA. MUUNGANO NI ROHO YETU Na, Suphian Juma Nkuwi. Salaams Watanzania wenzangu, Nimeona Kaka yangu kutoka mkoa niliyozaliwa wa Singida, Makamu Mwenyekiti...
1 Reactions
46 Replies
601 Views
Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwanini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili...
8 Reactions
80 Replies
987 Views
Baada ya kwenda South kwa nyakati mbili tofauti na kutembea maeneo mbalimbali tofaut, kwa ufupi nimezurura na maeneo mengi nayajua vizuri. Kuna vitu vingi sana sisi Watanzania tuna tofautiana na...
34 Reactions
96 Replies
7K Views
Ndugu zangu habari za wakati huu Wanawake tunawapenda sana sema kuna wakati mnachokitafuta mtakipata, sisi wanaume ni binadamu tuu na hatujakamilika kivile. Umekaa umetulia zako ghafla simu...
1 Reactions
14 Replies
375 Views
Wakuu,ingekua vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi. Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko..ni tahadhari gani umechukua?
0 Reactions
13 Replies
201 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,580
Posts
49,550,544
Members
667,544
Latest member
Winnie Urio
Back
Top Bottom