Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
30 Reactions
202 Replies
3K Views
Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano. Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa...
0 Reactions
80 Replies
2K Views
Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi 1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake...
1 Reactions
14 Replies
127 Views
Akizungumza na wananchi wa Iringa, leo Mei 2, 2024, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia anatumia picha za viongozi waandamizi wa Chama chake akiwemo yeye kuweka mabango...
12 Reactions
29 Replies
983 Views
Serikali yetu imeacha hawa wezi watusumbue. Naapa kuwashitaki. Kunakampuni nyingi kwenye mitandao inachukuq taariza maskini watanzania na kuwakopesha kwa nguvu huwadai pesa nyingi kama rejesho...
0 Reactions
6 Replies
7 Views
Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :- -NHIF -ASSEMBLE -STRATEGIES -JUBILEE -Cigna -BRITAM -BUPA -UAP -HEALIX -WCF...
1 Reactions
3 Replies
30 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
  • Article
Nimekutana na hii mtandaoni kwamba Clownfish wana uwezo wa kujibadilisha jinsia kutokea dume na kuwa jike. Tusaidieni kuihakiki.
0 Reactions
5 Replies
82 Views
Wakuu,ingekua vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi. Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko..ni tahadhari gani umechukua?
0 Reactions
6 Replies
7 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,539
Posts
49,549,479
Members
667,539
Latest member
manageble
Back
Top Bottom