Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
Nimepata taarifa isiyo rasmi kuwa vigezo vya kijiunga na diploma ya pharmacy vimebadilika kutoka D za kemia na biolojia hadi D 5 zikiwemo fizikia,hisabati na English.
Nawapongeza kwa mabadiko hayo...
Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako
Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza
Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
1. Nachukia Mtu ambaye haendi na muda na anajifanyia tu Mambo yake Kienyeji Kienyeji.
2. Nachukia Mtu ambaye hajui Kujipanga Kiratiba na yupo yupo kama Zombie fulani hivi duniani
3. Nachukia Mtu...
Mzee alipata kuwa
Jaji Mkuu
Makamu wa Rais
Waziri Mkuu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Na badae Tena akaja kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba
Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa...
Nawashauri vijana WANYAKE MASOKO MAWILI TU MAKUUUBWA SANA NA YOTE YATAMEZA VIJANA WOOTE WAKIACHA UVIVU.
1. CHINA WAMETUPA SOKO LA SOYA BEANS la ukubwa wa tani 400,000 kila mwaka Tanzania kwa...
Kwa ufafanuzi wa jana kuhusu kauli yako kuwa LISU ni mbaguzi kutokea hotuba yake ya Manyara, majibu aliyokupa ilitegemewa wewe kama nguli wa Sheria na uwe na uelewa wa Katiba zote za nchi hizi...
Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo ,
Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili...
Ndugu zangu wana JamiiForums huko kwenu Hali ya umeme ikoje baada ya mvua?
Huku kwetu tuna siku 3 mfululizo hatuna umeme maeneo ya vikindu kilongoni tumeshapiga simu weee jamaa wamekausha.
Wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.