Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandana ambayo hupelekea...
5 Reactions
27 Replies
312 Views
Wakuu mimi ni mume ambaye tumezaa mtoto mmoja na mke wangu ndoa yetu ina miaka zaidi ya mi4 mpaka sasa. Ukweni kwangu yaani familia ya wife imekuwa ikinisaidia saana ILA TATIZO WIFE SASA HUWA...
6 Reactions
23 Replies
305 Views
Msichojua ndo hicho sasa Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia...
28 Reactions
92 Replies
3K Views
Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER. Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka. Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi. ============= Tukirudi...
13 Reactions
55 Replies
2K Views
✨ Your Trading Journey Begins Here ✨ Are you ready to dive into the world of Forex and come out a trading champ? 🏆 BIG BOYS CLUB INVESTMENTS is offering a FREE Forex course that you can't afford...
2 Reactions
51 Replies
609 Views
Nafasi ya Waziri Mkuu Tanzania imekuwa mwiba mchungu kwa miaka mingi dhidi ya Marais waliopo Madarakani. Pamoja na kwamba Marais ushiriki kupendezekaza jina la Waziri Mkuu; wengi uwaona kama watu...
3 Reactions
15 Replies
597 Views
Nilitarajia tangu awali kusikia hatua za kufungiwa kwa Yanga zikienda pamoja na TFF kutamka kuipoka Yanga pointi katika michezo yote waliyomchezesha Pacomme kinyume na kanuni. Hata hivyo...
0 Reactions
30 Replies
389 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia wa Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa...
3 Reactions
16 Replies
415 Views
Miaka ya tisini na mwanzoni nwa miaka ya 2000 kulikuwa na wimbi la vijana kuzamia South Africa,Ulaya au Marekani. Zilitumika njia zote haramu na halali ikiwemo kuzamia meli mpaka bendi ya...
150 Reactions
240 Replies
20K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,569
Posts
49,523,151
Members
667,162
Latest member
REBAMS
Back
Top Bottom