Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mr Nice Bwana mmoja mwenye shamba alipanda viazi akachimbachimba akapata almasi hii ni bahati kwa mtu mwenye shamba*2 akatupa jembe lile akaenda mjini kanunua moto car,sasa ni gariii...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Tuongee serious, suala la kupata mwanamke wa kuwanae kwenye mahusiano kwa upande wangu limekua gumu sana hasa baada ya kuvunja uhusiano na mtu. Sio kwamba domo zege sijui kutongoza ninauwezo wa...
0 Reactions
3 Replies
16 Views
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake. Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao...
5 Reactions
73 Replies
702 Views
DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012...
6 Reactions
120 Replies
3K Views
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara. Amewashinda wafuatao : ◉ Reliants...
0 Reactions
2 Replies
63 Views
Nimeona maandiko mengi huku mitandaoni yakijaribu kuonyesha kuna uadui au kambi mbili kubwa zinazokinzana kati ya Mbowe na Lissu. Hizi propaganda zimefika mbali kiasi kwamba sasa hata chaguzi za...
5 Reactions
11 Replies
216 Views
Habari zenu. Maisha ni yamenizonga sana nataka kuanza kunywa pombe angalau nipoteze kuwaza sana. Ni kinywaji gani hakina alcohol kubwa lakini kinatuliza mawazo? Nawaza sana maisha mpaka nakonda...
7 Reactions
69 Replies
933 Views
TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba...
6 Reactions
16 Replies
478 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,873
Posts
49,787,833
Back
Top Bottom