Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Alieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match. Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar. Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji...
20 Reactions
66 Replies
2K Views
Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa. Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa...
10 Reactions
81 Replies
592 Views
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha. Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa...
8 Reactions
1K Replies
43K Views
Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana..na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi...
2 Reactions
36 Replies
328 Views
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo. Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
5 Reactions
40 Replies
661 Views
Nawaza tu angekuwa kiongozi wa BAVICHA au ACT Wazalendo katoa lugha au vitisho au kauli ya uvunjifu wa amani kama iliotolewa UVCCM kiongozi mkoa wa Kagera. Polisi wangemkamata kwa kosa la lugha...
1 Reactions
8 Replies
449 Views
Ndugu zangu Watanzania, Napowaambia kuwa David Kafulila ni CHuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa...
8 Reactions
25 Replies
212 Views
TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba...
6 Reactions
17 Replies
478 Views
Habari wana JF.. gari hizo hapo juu zote ni namba E zinauzwa nipo dsm kwa maongezi mazuri nitafute namba 0744566124
1 Reactions
36 Replies
861 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,876
Posts
49,787,938
Back
Top Bottom