Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna mjumbe wa mtaa wangu leo aliniambia CCM inaandikisha kadi za chama na pia inachukua namba za NIDA! Nani ameruhusu zoezi hili?
1 Reactions
16 Replies
160 Views
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe. Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu...
8 Reactions
34 Replies
454 Views
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex. Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika...
34 Reactions
726 Replies
38K Views
Niliwahi kusema hapa jamvini kwamba muda siyo mrefu itajulikana Wabunge wa Viti Maalum akina Halima Mdee na wenzake walifikaje Bungeni na Kwanini Mnyika hakushtaki Mahakamani kama kweli akina...
2 Reactions
6 Replies
87 Views
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake. Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao...
2 Reactions
33 Replies
140 Views
Inasikitisha sana, Katibu Mkuu wa chama tawala kupelekwa stand ya mabasi kufanya mkutano na kusikiliza kero za wananchi. CCM ni kikubwa na kina miaka zaidi ya 40, kwanini kifanyie mkutano stendi...
6 Reactions
14 Replies
216 Views
DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012...
2 Reactions
48 Replies
916 Views
Kwa hapa Dar es Salaam wapi naweza kupata kuku wa kukaanga kienyeji mithili ya wale wanaouzwa KFC? Yani kuku wa kukaanga crispy au crunch lakini ni wa kienyeji. Na ni kwa nini kuku wa kienyeji wa...
2 Reactions
43 Replies
406 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views

FORUM STATS

Threads
1,859,779
Posts
49,786,031
Back
Top Bottom