Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8 Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua) Ametangaza kukata...
16 Reactions
139 Replies
3K Views
Radio ya Kiba na kikeke imekuja na style ya drama kujitangaza. Nawashauri wawekeze kwenye content ndio kila kitu kwenye media. Leo hii clouds na wasafi zina wasikilizaji wengi sababu zina...
9 Reactions
41 Replies
1K Views
Shirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza. Cha kushangaza Tanzania...
6 Reactions
22 Replies
285 Views
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake. Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao...
4 Reactions
58 Replies
480 Views
Kama kichwa kinavyojieleza, CDM wanaendelea kutuonesha kuwa hakuna wanaloliweza. 1. Uongozi wa kifalme: Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu. Hili ni tatizo katika uongozi wao. Hata kama katiba yao...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Alieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match. Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar. Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji...
20 Reactions
60 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Habari zenu, Naombeni msaada mke wa rafiki yangu amekuwa na tatizo la KUJAA mate mdomoni, nilipoambiwa nilidhani ni dawa anazotumia zinasababisha, kifupi anatibiwa afya ya akili pale Muhimbili so...
2 Reactions
13 Replies
197 Views
DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012...
5 Reactions
96 Replies
2K Views
Maambukizi ya VVU miongoni mwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 yameongezeka kwa kiwango cha kutisha, kwa mujibu wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids). Kulingana na takwimu...
2 Reactions
12 Replies
159 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,827
Posts
49,786,900
Back
Top Bottom