French President Macron to announce: "Europe is at war with Russia" on June 6
JUNE 02, 2024
June 6 will be a landmark day for the whole of Europe. France will officially make the first...
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake.
Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nimepata
Phy D
Math D
Chem C
Na jumla ya ufaulu nin two ya 21 na nimeapply DIT kozi ya electrical engineering na mechanical engineering je nitapata nafasi kati ya hizo
MSAADA WA MAWAZO WAKUU...
Nimeona mdau mmoja analalamika kero ya jirani yake anayefuga ng'ombe. Kwa nini serikali za miji hazikatazi kufuga maeneo ya mjini, badala yake wanakataza kulima mahindi na alizeti, vitu visivyo na...
Sote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa
Hivyo nawapa darsa za Quran...
Habarini wakuu nina omba kujua soko la mkaa mkoani Tanga na Dar es Salaam pamoja na bei! Nataka kuja kuuza mkaa katika mikoa hiyo! Aliyetayari tufanye biashara tuwasiliane kwa 0687391885
Hussein Abdala maarufu Mauzinde (30), mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar alitekwa na watu wasiyojulikana, wakamshambulia kwa kumkata masikio yote mawili, wakamfunga bandeji na...
Wabantu walisambaa kutoka maeneo ya Cameroon na kuelekea kusini yote ya Africa kama miaka 3,000 iliyopita, yaani miaka 1000 kabla ya kuzaliwa Yesu. Lakini kabla ya wabantu kuja huku kusini, wakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.