Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.
Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
Kama kawaida yangu nikiwa na mdodoza mfanyabiashra tajiri mkubwa sna hapa Dodoma Ni mzee simple sna ukimuona huweZi dhani kuwa Ana pesa.
Basi kutoka na ninayo yaona Happ ndani ya nchi hi ikabidi...
Taasisi hii ilianzishwa kwa lengo la kupambana na rushwa , na pia taasisi hii haikuanzishwa kwa lengo la kukamata wala Rushwa wadogo Pekee bali walaji wa aina zote wa rushwa.
Mara nyingi sana...
Nahisi tatizo lako ni kumuunga mkono Tundu Lissu ndio sababu ukaletewa bilionea akung'oe.
Wewe ni mtoto wa Kimasikini hizo siasa hutaziweza njoo CCM upate pumziko la kweli la kisiasa.
Mbowe...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu anesema kimsingi viongozi wanaomiliki timu za mpira wanatakatisha Fedha
Mnatakiwa mjiulize kuna nini huko kwenye mipira kama siyo kutakatisha Fedha...
Baadhi ya waendesha pikipiki Jijini Dar es Salaam wameomba kuambatanishwa kwenye ziara za Rais Samia Suluhu Hassan anazozifanya nje ya nchi kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wao.
Maombi hayo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ataongea na Waandishi wa habari Leo saa 5 00 asubuhi nyumbani kwake Kihesa - Iringa
Yajayo yanafurahisha na tutawajuza kutokea hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.